Mwandishi Wetu, Chalinze.
Mkazi
wa Lugoba, wilayani Chalinze mkoani Pwani, Hashimu Shabani,
amekabidhiwa fedha zake sh milioni 10 alizoshinda kutoka kwenye droo
kubwa ya bahati nasibu ya Biko inayoongoza kutoa washindi wengi sehemu
mbalimbali za Tanzania wanaocheza kwa kuanzia sh 1000 na kuendelea.
Makabidhiano
hayo yamefanyika mkoani Pwani na kuongozwa na balozi wa Biko Kajala
Masanja na kusema biko ni mchezo unaosambaza mamilioni ya fedha kwa
Watanzania wanaocheza live kwa njia ya mtandao www.biko.co.tz pamoja na wanaotumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456 au neno biko.
Biko
ni mchezo wa kubahatisha unaoongoza kutoa fedha nyingi kwa Watanzania,
ambapo zwadi za papo kwa hapo zinatoka kila sekunde moja kuanzia sh 2500
hadi milioni 5 papo hapo bila kusahau kutoa zawadi ya hadi sh milioni
40 kila Jumapili ambapo mbali na kucheza kwa namba ya Kampuni 505050 na
kumbukumbu 2456, pia watu wanaweza kucheza live kwa kuingia www.biko.co.tz.
Balozi
wa Biko Kajala Masanja kulia akifurahia jambo na Hashimu Shabani wa
Lugoba mkoani Pwani aliyeshinda fedha za bahati nasibu ya Biko sh
milioni 10. Makabidhiano hayo yamefanyika Kibaha, mkoani Pwani. Picha na
Mpigapicha wetu.Balozi
wa Biko Kajala Masanja akiwa na mshindi wa sh milioni 10 Hashimu
Shabani wa Lugoba mkoani Pwani kushoto kwake. Wengine ni marafiki wa
Hashimu waliokuwa wanampongeza kwa ushindi wake. Picha ma Mpigapicha
wetu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...