Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (
wapili kushoto ) akichangia mada kwenye kongamano la siku ya mtoto
njiti lililozungumzia marekebisho ya muda wa nyongeza wa likizo kwa
wazazi ili kupata fursa ya kulea mtoto aliyezaliwa njiti. Kampuni hiyo
kwa sasa inatoa likizo ya uzazi ya miezi minne kwa wazazi wote wawili
pindi wanapopata mtoto.Wengine kushoto ni msimamizi wa wodi ya watoto
wanaopata huduma ya Kangaruu Hospitali ya Muhimbili , Sista. Cleopatra
Mtei, mama shuhuda aliyejifungua mtoto njiti, Nikita Mandan na kulia
ni muongoza mada, Innocent Mungy.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...