Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya kati, Joseph Sayi (kushoto) na Meneja
Mkakati wa Biashara wa kanda hiyo, Baraka Siwa (kulia) wakiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa wiki ya pili wa promosheni ya
"Show Love,Tule Shangwe " jumla ya washindi 16 wamejishindia Tv za
kisasa (smart TV) sita, simu janja (smartphone) sita na washindi wanne
wamejishindia pesa taslimu. Ili ushinde zawadi kutoka Vodacom unatakiwa
kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga
*149*01#.Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya kati, Joseph Sayi (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na washindi wa wiki ya pili wa promosheni ya
"Show Love,Tule Shangwe " jumla ya washindi 16 mkoani Dodoma ambao
wamejishindia Tv za kisasa (smart TV) sita, simu janja (smartphone)
sita na washindi wanne wamejishindia pesa taslimu. Ili ushinde zawadi
kutoka Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa
umpendae kwa kupiga *149*01#. Hafla hiyo imefanyika mjini Dodoma.
Baadhi ya washindi wa promosheni ya Vodacom "Show Love,
Tule Shangwe" wakiwa na zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa katika
hafla iliyofanyika jana jijini Dodoma. Jumla ya washindi 16
wamejishindia zawadi mbalimbali ikiwamo TV za kisasa (smart tv) sita,
simu janja (smartphone ) sita na washindi wanne
wamejishindia pesa taslimu. Ili ushinde zawadi kutoka Vodacom unatakiwa
kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga *
149*01#
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...