Katika kupeleka ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola, wakazi wa sehemu mbalimbali wa mkoani Kilimanjaro walipata fursa ya kufikiwa na ‘Father Christmas’ (aliyevalia mavazi mekundu na ndevu nyeupe) ambapo alikuwa akitoa zawadi tofauti ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.
Sehemu ya msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola, ukiwa unapita sehemu mbalimbali wa mkoani Kilimanjaro ukitoa zawadi kemkem ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.Sehemu ya msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola, ukiwa unatoa burudani sehemu mbalimbali kwa wakazi wa mkoani Kilimanjaro ukitoa zawadi kemkem ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.
Sehemu ya wakazi mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kushuhudia msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola ukiwa unapita katika maeneo yao ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...