Hotuba ya Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Wambata wa Jeshi kutoka Balozi zao wakipiga salute wakati wa nyimbo za Taifa kati ya Tanzania na Marekani zilipokua zikipigwa.
Mhe. Dkt. Elsie S. Kanza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi  siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Alhamis Disemba 9, 2021, Washington, DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...