Waziri wa Kilimo ,Umwagiliaji, Maliasili na mifugo Dkt. Soud Nahoda Hassan Akitoa taarifa ya utekelezaji na mafanikio ya Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Mwandishi wa habari Shirka la utangaqzaji Zanzibar (ZBC) Hamisuu Ali akiuliza Swali kwa Waziri wa Kilimo ,Umwagiliaji, Maliasili na mifugo Dkt. Soud Nahoda Hassan mara baada ya kuwasilisha taarifa yake ya utekelezaji na mafanikio ya Wizara , huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...