Mkuu wa Gereza Kihonda, SP. Lucas Mboje(kushoto) leo Januari 14, 2022 akiwa na Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP. Hanipher Kiangi kabla ya kukabidhi mifuko ya saruji 10 kwa ajili ujenzi unaoendelea wa nyumba ya askari katika Gereza la Wanawake Kingolwira, mkoani Morogoro ikiwa ni hatua ya kuunga mkono juhudi za uongozi wa Gereza hilo katika kuboresha makazi ya askari.
Ujenzi wa nyumba ya askari Gereza la Wanawake Kingolwira lililopo mkoani Morogoro ikiwa katika hatua za awali za ujenzi kama inavyoonekana pichani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...