Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari akitoa maelezo juu ya uendeshaji wa mamlaka hiyo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete mara baada kutembelea Makao Makuu ili kujifunza ufanyaji kazi wake
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakifuatilia mkutano huo
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi) Atupele Mwakibete akipata maelezo kutoka kwa Muongoza ndege Mwandamizi, Shukuru Nziku (Mwenye shati la kitenge kulia) alipotembelea Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania CATC), Aristid Kanje (kulia) akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete alipotembelea Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania ili kujifunza
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania, Aristid Kanje (kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) Atupele Mwakibete na menejimenti ya TCAA mara baada ya kutembelea eneo ambalo linatarajiwa kujengwa Chuo cha kisasa cha Usafiri wa Anga Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...