"Mhe. Martine ni mtu mwema mwenye ushirikiano wa hali ya juu tangu nilipokutana naye nikiwa Wizara ya Viwanda na biashara, Kilimo na hadi leo hii,"amesema
Mhe. Bashungwa amesema TAMISEMI inatoa pole na kuwashukuru wakuu wote wa Mikoa Tanzania bara kwa ushirikiano walionyesha katika kupindi hiki kigumu cha msiba wa Bi. Magdalena aliyefariki tarehe 20.01.20211 na hadi anazikwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lililobeba mwili wa Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigela katika mazishi yaliyofanyika wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...