Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (katikati) wakiwapungia mikono WANANCHI leo walipojumuika na Viongozi na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani hadi Uwanja wa Amaan Studim.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (katikati) walipojumuika na Viongozi na Wanamichezo wa Vikundi mbali mbali Bara na Zanzibar katika maadhimisho ya bonanza la Mazoezi ya Viungo Kitaifa kwa matembezi yaliyoanzia Michenzani hadi Uwanja wa Amaan Studim.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Bonaza la Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Mazoezi ya Viungo Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi hayo yaliyoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizia katika viwanja vya Amaan, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Chama cha Mazoezi ya Viungo Zanzibar.(ZABESA), Ndg.Said Suleiman.



Wanamichezo wakishiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi



Vikundi mbali mbali wa mazoezi kutoka Bara na Visiwani vilivyoshiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Uwanja wa Amani Studium yaliyofanyika leo.



Vikundi mbali mbali wa mazoezi kutoka Bara na Visiwani vilivyoshiriki Bonanza la Mazoezi ya Viungo wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Uwanja wa Amani Studium yaliyofanyika leo.


WASHIRIKI wa Bonaza la Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Mazoezi ya Viungo Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Amaan wakifanya mazoezi ya pamoja baada ya kumaliza matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani na kumalizaia katika Uwanja wa Amaan



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mazoezi ya Viuongo kwa vikundi mbalimbali kutoka Zanzibar na Tanzania Bara, wakifanya mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa Bonaza la Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Mazoezi Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa (ZABESA) Ndg. Said Suleiman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi Zanzibar katika Bonaza la Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Mazoezi ya Viungo Zanzibar, yanayoadhimishwa Kitaifa kila mwaka ifikapo januari Mosi, mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...