Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto)akiondoa kitambaa kufungua hoteli ya Marijani Resort &Spa katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 06/01/22.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (wa tatu kulia) Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Rahim Balu baada ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (wa tatu kulia.)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto)wakifuatana na Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na kupata maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi (kushoto)wakifuatana na Mwekezaji Rahim Balu (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakifuatana kabla ya kuagana baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa ikiwa ni katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...