Mkuu wa kitengo cha huduma za kidigitali Vodacom Tanzania, Goodluck Moshi akizungumza na wakazi wa Mbagala waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya zawadi kwa mshindi wa promosheni ya Vodacom Tusua mapene, Lilian Haule ambaye amejishindia shilingi milioni kumi kutoka Vodacom.
Mshindi wa zawadi ya promosheni ya Vodacom Tusua Mapene, Lilian
Haule akizungumza na wakazi wa Mbagala waliojitokeza kushuhudia namna
alivyokabidhiwa zawadi yake ya shilingi milioni kumi kutoka Vodacom.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...