Jaji Mfawidhi Kanda ya Dar es salaam Mhe. Amiri Rajabu Mruma akikabidhi jezi za michezo na zawadi nyinginezo ikiwemo mipira ya miguu kwa Mkuu wa Gereza Kuu Ukonga, SSP Hamis Lissu katika kukamilisha maadhimisho ya wiki ya Sheria jana Januari 30, 2022 jijini DSM,  baada ya pambano kati ya simba na yanga ( Timu za wafungwa). Matokeo ni 3 - 3.

Jaji Mfawidhi Kanda ya Dar es salaam Mhe. Amiri Rajabu Mruma akikabidhi jezi za michezo na zawadi nyinginezo ikiwemo mipira ya miguu kwa Mkuu wa Gereza Kuu Ukonga, SSP Hamis Lissu katika kukamilisha maadhimisho ya wiki ya Sheria jana Januari 30, 2022 jijini DSM,  baada ya pambano kati ya simba na yanga ( Timu za wafungwa). Matokeo ni 3 - 3

Timu za wafungwa za Simba na Yanga za Gereza Kuu Ukonga zikimenyana uwanjani jana Januari30, 2022. Matokeo ni 3 - 3


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...