Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7, 2022. Kushoto ni Mkakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla na  wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, Pindi Chana na kulia ni  Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. John Jingu.

Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati  Kuu ya Taifa ya Sensa wakimsikiliza mwenyekiti wao, Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipofungua  kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza  wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7 , 2022. Kushoto ni Mkakamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla na kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana.

 

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza wakati alipoongoza kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,  Februari 7 , 2022. Kushoto ni Mkakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla. 

 Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa  akitoa taarifa katika kikao cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa kilichoongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...