Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga king'ora kuanzisha Mbio za Kilomita 42 katika maadhimisho ya miaka 20 ya Kilimanjaro Marathon kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi, Februari 27, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (BL) ambao ndiyo wadhimini wakuu wa maadhimisho hayo, Jose D Moran. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriiki katika mbio za Kilimanjaro Marathon baada ya kuzianzisha kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika mini Moshi, Februari 27, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...