MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa, kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 8-2-2022.(Picha na Ikulu)


MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, wakiwa katika ukumbi wa White House Dodoma, kabla ya kuaza kwa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya  Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika leo 8-2-2022.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya  Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) (wa kwanza kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Dkt.Philip Mpango, Mjumbe wa Kamatin Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...