RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro aliyekuwa Afisa Ofisi ya Rais  maziko hayo yaliofanyika Kijiji kwao Nyasusura Mkoa wa Mara leo 26-2-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro, baada kuwekwa mwili wa marehemu, maziko yaliofanyi leo kijijini kwao Nyasusura Mkoa wa Mara.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro baada ya kuwekwa kwa mwili wa mareheme katika kaburi maziko yaliofanyika Kijijini kwao Nyasusura Mkoani Mara leo 26-2-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakito wa pole kwa Watoto wa Marehemu Kagere Thomas Charles Mukakaro, alipofika Kijijini kwa Marehemu kijiji cha Nyasurura Mkoani Mara kujumuika na familia katika maziko hayo yaliofanyika leo 26-2-2022.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ewe kifo, waweza kusababisha mtanziko; tena una uwezo wa kuitenga miili yetu lakini kamwe huwezi kuzitenga roho zetu; huwezi kuzifuta hisia zetu, kumbukumbu za maisha wala picha isiyofutika ya Kijana Mahiri, Mcheshi na Msafi KC.
    Pumzika kwa Amani Kagere Thomas Charles Mukakaro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...