Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwakaribisha wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (wanne kushoto), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wanne kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Home
HABARI
SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UGENI KUTOKA BENKI YA NMB BUNGENI JIJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...