Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Pindi Chana, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Pindi Chana wakijadili jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) Bungeni Jijini Dodoma, Februari 09, 2022. Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...