





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya kuhutubia .
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...