Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg leo tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.

    

Sehemu ya Watanzania mbalimbali waishio nchini Ubelgiji na Luxembourg wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Brussels nchini Ubelgiji leo 18 Februari, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufanya ikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg leo tarehe 18 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.

PICHA NA IKULU




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...