Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu 
Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi Mhe. Angeline Mabula na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuapisha Waziri Mabula katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluh Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula mara baada ya kumuapisha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...