Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo Ujumbe wa baadhi ya madiwani wa Shehia mbali mbali katika Manispaa za Mkoa wa Mjini Magharibi wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa (wa pli kulia)katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] 24/02/2022.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Ujumbe wa baadhi ya madiwani wa Shehia mbali mbali katika Manispaa za Mkoa wa Mjini Magharibi wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa (wa pli kulia) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.] 24/02/2022.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...