Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (watatu kushoto) alieambatana na watendaji kutoka hospitali hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi wa uzalishaji wa kampuni ya maziwa ya ASAS, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud (wakwanza kushoto) alieambatana na Maafisa kutoka Benki hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...