Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Hamisa Lizuthi (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya  ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja mkakati wa biashara Vodacom kanda ya kati Baraka Siwa (kulia), kushoto ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro Ibrahim Mawalla. Hafla ya makabidhiano hayo yalifanyika katika soko la Chifu Kingalu mkoani Morogoro.

Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Alex Kitambi (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya  ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja mkakati wa biashara Vodacom kanda ya kati Baraka Siwa (kulia), kushoto ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro Ibrahim Mawalla. Hafla ya makabidhiano hayo yalifanyika katika soko la Chifu Kingalu mkoani Morogoro.




 Mshindi wa promosheni ya Vodacom Shangwe Lipo pale pale, Kibwana Athumani (wa pili kushoto) ambaye amejishindia zawadi ya  ADA ya shule ili amlipie mwanae wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja mkakati wa biashara Vodacom kanda ya kati Baraka Siwa (kushoto ), kulia ni Meneja Mauzo wa Mkoa wa Morogoro Ibrahim Mawalla. Hafla ya makabidhiano hayo yalifanyika katika soko la Chifu Kingalu mkoani Morogoro

 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...