Mtendaji wa kata ya Huzi wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Azilongwa Bohari akiwa na wanafunzi wa kidato cha Kwanza Shule ya Sekondari ya Huzi wamemshukuru Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea madarasa matatu yenye thamani ya Tsh 60m/- na hivyo Wanafunzi 174 Wamefanikiwa kujiunga na kidato na Kwanza katika shule hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...