Meneja Usimamizi wa Mafao wa NSSF, James Oigo, akizungumza na waandishi wa  habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi . Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF,  Lulu Mengele na  Kushoto ni Meneja Malipo  ya  Pensheni wa NSSF, Nancy Mwangamila
Meneja Malipo  ya Pensheni wa NSSF,  Nancy Mwangamila, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu zoezi la uhakiki wa wastaafu na wategemezi lililoanza tarehe 1 Februari, 2022 hadi Aprili 29, 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...