Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Jacob Mwaruanda, nyumbani kwa marehemu, Kisasa, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimpa pole Mke wa marehemu Mama Mwaruanda, baada ya misa ya kumuombea na kumuaga Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Jacob Mwaruanda, Kisasa, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika msiba wa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Jacob Mwaruanda, nyumbani kwa marehemu, Kisasa, jijini Dodoma, leo. Amesema marehemu alikuwa mchapakazi na ameacha pengo katika Jeshi la Polisi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi la Polisi, CP Benedict Wakulyamba, akitoa salamu za pole kwa niaba ya Jeshi hilo katika msiba wa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi hilo (SACP), Jacob Mwaruanda, Kisasa, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwili wa Marehemu Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Jacob Mwaruanda, ukiwasili nyumbani kwa marehemu, Kisasa, jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...