Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi (katikati) katika makaburi ya wanazuoni mbali mbali waliozikwa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo alipozuru makaburi hayo kabla ya kujumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa (kulia) Sheikh Salum Hemed .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipozungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijumaa Malindi Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...