Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikagua daraja la Tembela na Mwasanga zilizopo katika kata hiyo wakati wa ziara ya kikazi kuhusu mafanikio na mipango ya Serikali katika jimbo hilo leo Machi 4, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa kata ya Tembela na Mwasanga wakati wa ziara ya kikazi kuhusu mafanikio na mipango ya Serikali katika jimbo hilo leo Machi 4, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Rashid Chuachua na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakati alipofanya ziara ya kikazi kuhusu mafanikio na mipango ya Serikali katika kata ya Tembela ma Mwasanga zilizopo Jimbo la Mbeya Mjini leo Machi 4, 2022

Wananchi wa kata ya Tembela na Mwasanga wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati wa ziara ya kikazi katika kata hiyo kuhusu mafanikio na mipango ya Serikali katika jimbo hilo leo Machi 4, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...