Bournemouth
uso kwa uso na Middlesbrough Ijumaa hii. Championship inamvua ya magoli, soka linachezwa
kwenye hali ya juu sana ikiwa ni mchakato wa kuitafuta tiketi ya kucheza EPL
msimu ujao. Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Bournemouth.
Ni Manchester
City vs Liverpool sehemu ya 2
mwezi huu. Safari hii ni kwenye nusu fainali ya FA. Huku sasa, mmoja lazima
apoteze ili mwingine acheze fainali msimu huu, Je ni nani? Ifuate Odds
ya 2.41 kwa City kupitia Meridianbet.
Simba SC
watakua kwa Mkapa wakiwaalika Orlando Pirates kwenye robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Imejengeka fikra kuwa, mnyama akiwa nyumbani hafungiki, mgeni lazima aumie.
Itakua hivo dhidi ya vijana wa Madiba? Weka mchezo huu kwenye tiketi yako ya
ushindi ya Meridianbet.
Kwenye LaLiga Sentander, Sevilla
watawaalika Real Madrid.
Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zinazochuana kwenye mbio za kuwania
ubingwa msimu huu. Odds nono
imewekwa kwa Madrid, 2.44 ipo kwa ajili yako.
Napoli
watapambana na AS Roma
kwenye Serie A. Nchini Italia napo msimu unashika hatamu. Kila timu inapambana
kumaliza msimu kwenye nafasi za juu, ni Insigne au Abraham atakayetoboa dakika
90? Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.91 kwa Napoli.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...