Courtesy of Swahili Villa TV Online
Mahojiano mafupi na Baharia Nassor El Mahruki ni Mfanyabiashara anaetokea Zanzibar Tanzania, ambae pia ni Mtanzania wa kwanza kuzunguka dunia nzima kwa mashindano ya boti ziendazo kwa upepo (Clipper Race) Siku ya Jumamosi April 30, 2022 kuanza rasmi mashindano ya mbio hizo huko Bell Harbor Marina, Alaskan Jijini Seattle Washington Nchini Marekani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...