Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa
Rais Hamza Hassan Juma akitoa hotuba mara baada ya Dua ya kumuombea Marehemu Seif Bakari mmoja kati ya
Wanamapinduzi katika hafla ya kuwatembelea
kuwaenzi na kuwaombea Dua Viongozi wa Kitaifa hafla iliofanyika Kiembe
Samaki Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa
Rais Hamza Hassan Juma(mwenye koti na kofia nyeupe)akiwaongoza waumini katika
Dua ya kumuombea Marehemu Seif Bakari
mmoja kati ya Wanamapinduzi katika hafla ya kuwatembelea kuwaenzi na kuwaombea Dua Viongozi wa Kitaifa
hafla iliofanyika Kiembe Samaki Zanzibar.Mmoja kati ya wanafamilia Abdalla Mitawi
akisoma wasifu wa Marehemu Seif Bakari mmoja kati ya Wanamapinduzi katika hafla
ya kuwatembelea kuwaenzi na kuwaombea
Dua Viongozi wa Kitaifa hafla iliofanyika Kiembe Samaki Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais
Hamza Hassan Juma(mwenye koti na kofia nyeupe)akimsikiliza Mmoja kati ya
wanafamilia Abdalla Mitawi akisoma wasifu wa Marehemu Seif Bakari mmoja kati ya
Wanamapinduzi katika hafla ya kuwatembelea
kuwaenzi na kuwaombea Dua Viongozi wa Kitaifa hafla iliofanyika Kiembe
Samaki Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...