BAADA ya mapumziko ya wiki 2 na kupisha mashindano ya Kimataifa,
Ligi mbalimbali zinaendelea wikiendi hii ikiwa ni mbio za kuelekea mwishoni mwa
msimu. Viwanjani kupo hivi;
Manchester United
watakua Old Trafford wakiwaalika Leicester City katika muendelezo wa EPL. United wanamachungu ya kupigwa 4-1
kwenye mchezo wa kwanza kule King Power Stadium enzi za Ole Gunnar Solskjaer,
wakiwa OT jumamosi hii, The Red Devils watafanya nini? Meridianbet
tumekuwekea Odds ya 1.51 kwa United.
Erling Haaland amerejea kwenye kikosi cha Borussia
Dortmund ambao pia, watakua nyumbani wakiwaalika RB Leipzig kwenye mchezo wa Bundesliga. Mvua za magoli zinatokeaga kwenye
michezo kama hii, Odds ya 2.40
ipo kwa BVB ndani ya Meridianbet.
Camp Nou kumenoga, Xavi football katika ubora wake. FC Barcelona
uso kwa uso na Sevilla kunako LaLiga. Mbio za ubingwa wa ligi zinaendelea kushika kasi, timu zote
zikiwa zinamuwinda Real Madrid ambaye ni kinara wa ligi. Meridianbet
tunaodds ya 1.47 kwa Barcelona.
Miamba ya soka la Italia kupimana ngumu kule Turin. Juventus
kuwaalika mabingwa watetezi wa Serie A – Inter Milan. Pengine Dyabala anaweza kuwa na fursa ya kuzungumza na mabosi wa
timu anayohusishwa nayo (Inter) baada ya kuwekwa wazi kuwa hatokuwa mchezaji wa
Juve baada ya msimu huu. Yote 9, 10 ni kwamba, tunaodds ya
2.55 kwa Inter kupitia Meridianbet.
Jumatatu itatamatishwa kwa mchezo wa Crystal
Palace vs Arsenal jijini
London, Uingereza. Utamu wa EPL siku zote huwa ni kwenye michezo 10 ya mwisho
na hapa ndio kwanza tunaanza!! Ni Vierra au Arteta atakayeondoka na ushindi
baada ya dakika 90? Ifuate Odds
ya 2.01 kwa The Gunners.
Bashiri Kistaarabu na Meridianbet! HAIRUHUSIWI kwa wenye umri chini ya miaka 18.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...