Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt. Seleman Jafo (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya Mshindi wa kwanza wa Kuhifadhi Quraan Tukufu katika kundi la waliohifadhi Juzuu 30, Hamad Juma Faqihi (miaka 18) kutoka mkoani Tanga, wakati wa Kilele cha Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Tanzania , yaliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt.
Seleman Jafo (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya Mshindi wa pili wa
Kuhifadhi Quraan Tukufu katika kundi la waliohifadhi Juzuu 30, Mbarak Othman Ally
(miaka 20), wakati wa Kilele cha
Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na
Taasisi ya Istiqaama Muslim Community of Tanzania, yaliyofanyika jana
kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya hiyo, Sheikh Badar bin Sood.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt.
Seleman Jafo (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya Mshindi wa kwanza wa
Kuhifadhi Quraan Tukufu katika kundi la waliohifadhi Juzuu 10, Ibtisam Bint Hussein Awadh
(miaka 15), wakati wa Kilele cha
Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na
Taasisi ya Istiqaama Muslim Community of Tanzania, yaliyofanyika jana
kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam. Katikati ni
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif na
Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Jumuiya hiyo, Sheikh
Badar bin Sood.
Mufti
na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubabar Zubeir bin Ally akitoa wasaa
wake kwa vijana waliokuwa wakishiki Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi
Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na Jumuiya ya Istiqaama Tanzania,
yaliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt.
Seleman Jafo akizungumza na kuwahusia vijana walioshiriki Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na
Taasisi ya Istiqaama Muslim Community of Tanzania, yaliyofanyika jana
kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Isitqaama, Sheikh Seif Ally Seif akizungumza na kuwahusia vijana walioshiriki Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na
Taasisi ya Istiqaama Muslim Community of Tanzania, yaliyofanyika jana
kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.

Vijana walivyokuwa wakichuana katika Mashidano ya 5 Kitaifa ya kuhifadhi Quraan Tukufu, yaliyoratibiwa na
Taasisi ya Istiqaama Muslim Community of Tanzania, yaliyofanyika jana
kwenye Ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...