Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za kufanya chaguzi za ndani.

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shina baada ya kupiga kura kuwachagua viongozi wa Shina namba moja Tawi la Nanguruwe. Uchaguzi huo umefanyika katika Kata ya Nandagala Ruangwa mkoani Lindi Aprili 16, 2022. Chama cha Mapinduzi kipo katika hatua za kufanya chaguzi za ndani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...