RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) na kuwashirikisha Madaktari.Wauguzi,watoa huduma ya Afya na Masheikh.(Picha na Ikulu)










PROFESA Mussa Assad akizungumza na kutoa Mada kuhusiana na Dhima ya Kutoa Huduma Kwa Jamii , wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya, lililfanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi l



WASHIRIKI wa Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia ( JAI) lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar



WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kulifungua Kongamano la Pili la Madaktari na Wahudumu wa Afya, lililoandaliwa na Taasisi ya Jamiyyatul Akhlaqul Islaamia (JAI) lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Unguja Jijini Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...