Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa na Mama Janeth Magufuli Mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Jenista Mhagama wakitoka nje na kusalimiana na watu baada ya kushiriki katika Misa Maalumu ya kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Aprili 23, 2022


Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa na Mama Janeth Magufuli Mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Jenista Mhagama wakishiriki katika Misa Maalumu ya kuadhimisha Miaka 100 ya Kuzaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Aprili 23, 2022
Picha na Muhidin Issa Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...