Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akitoka kwenye ukumbi Bungeni jijini Dodoma,



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma,



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda Mjini, Robert Maboto Bungeni jijini Dodoma



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wenye mahitaji maalum, kutoka Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, Bungeni jijini Dodoma



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha kutoka kwa Mkuu wa Kitengengo cha Watoto wenye uhitaji maalum Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, ambayo imetengenezwa kwa shanga na watoto hao, nje ya jengo la Bunge jijini Dodoma, Aprili 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...