Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Mendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Aprili
12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa, bungeni
jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba
Ndaki, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Eng. Maryprisca Mahundi, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza
na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini
Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...