MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama
Mariam Mwinyi akimkabidhi mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Uzi Sadaka ya Futari,
aliyokabidhi kwa Wazee wa Shehia mbili za Uzi na Ngambwa , hafla hiyo
iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha
na Ikulu)//MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama
Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja
baada ya kuwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Uzi,kwa ajili ya kutoa
Sadaka ya Futari kwa Wazee kuazia umri wa miaka 70 wa Shehia mbili za Uzi na
Ngambwa na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi.(Picha
na Ikulu)MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama
Mariam Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Uzi, wakati wa
hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee wa umri wa miaka 70, hafla hiyo
iliyofanyika katika Skuli ya Msingi Uzi na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi.(Picha na Ikulu)MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama
Mariam Mwinyi akimkabidhi Misahafu Sheikh Ali Othman kwa ajili ya Madrasa na
Misikiti ya Shehia ya Uzi na Ngambwa, hafla hiyo iliyofanyika katika Skuli ya
Msingi Uzi.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...