Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na msanii wa mipasho,
Swalehe Juma Nassoro maarufu Dkt. Kumbuka, kwenye viwanja vy Bunge
jijini Dodoma, Aprili 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Aprili 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...