MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha
Bora. Mama Mariam Mwinyi akimabidhi mmoja wa Wazee wa Tumbatu Sadaka ya
Futari Bi.Tabu Kheri Haji ikiwa ni moja ya vyakula alivyokabidhiwa kwa
Wajane Wazee na Wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji
cha Jongowe Tumbatu Unguja leo 21-4-2022.(Picha na Ikulu)WAZEE
wa Tumbatu wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa
Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani)
wakati wa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee na Wenye hali
Ngumu iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe Tumbatu Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo 21-4-2022.(Picha na Ikulu)MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha
Bora Mama Mariam Mwinyi akiitikia ikisomwa na Sheikh.Makame Said
Khamis.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya
Futari kwa Wajane Wazee na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu,
iliyofanyika katika Kijiji cha Jongowe na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwake) Sheha wa
Shehia ya Jongowe Bi. Miza Ali Sharif.(Picha na Ikulu)/MKE
wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha
Bora Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Tumbatu
baada ya kumalizika kwa hafla ya kutoa Sadaka ya Futari kwa Wajane Wazee
na Wenye Hali Ngumu katika Kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo 21-4-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...