Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongozana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 15 Aprili 2022 wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.
Ibada hiyo imeongozwa na Padri Gilbert Magidale.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...