
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kuwasili katika viwanja vya Masjid hiyo kuhudhuria ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika jana 8-4-2022 Masjid hiyo.

WAUMINI wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini na Wananchi wa Masjid Kheir Markaz Mombasa Unguja Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo jana 8-4-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...