RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Futari mmoja wa Mzee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Arabia Ali Kombo, wakati wa kukabidhi sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mmoja wa Wazee wa Mkoa wa Kusini Unguja Bw.Mohammed Abdalla, akitowa neno la shukrani, wakati wa kutoa sadaka ya futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumaliza kutoa Sadaka ya Futari kwa Wazee,Yatima na Wananchi wenye hali ngumu , hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kwa Kibeshi Unguja Ukuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...