
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkufunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar Bw,Muhammad Kassim Muhammad akitowa maelezo ya kifaa cha “ IOT Based Hydro-ponics Monitoring System “ wakati akitembelea maonesho ya Wanafunzi Wabunifu wa vifaa mbalimbali katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar, kabla ya kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mwalimu Nyerere
Mhe.Stephen Wasira alipowasili katika viwanja vya Chuo Kampesi ya Karume
Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya
Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati
Sheikh.Abeid Amani Karume, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...