

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Ndg. Brenda Msangi iliyotengenezwa na Wanawake wanaopatiwa mafunzo ya Ujasiriamali kutoka kitengo cha Mabinti Centre kinachosimamiwa na Hospitali ya CCBRT
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...