




Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakifanya usafi katika Maeneo ya Nyumba za Wazee Sebleni , kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume.


Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), waliyohudhuria katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.



Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mahmoud Abdulwahab Alawi akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.



Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mahmoud Abdulwahab Alawi akimkabidhi zawadi za Vifaa vya Umeme, Maji,Mavazi na Vitu vya kupikia Mlezi wa Wazee Ashura Sleiman Juma , kwa ajili ya Wazee wanaoishi Nyumba za Sebleni, Ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.

Mrajis wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Latifa Salmin Ufuzo (kulia) akimkabidhi zawadi ya Kanga Mlezi wa Wazee Ashura Sleiman Juma , kwa ajili ya Wazee wanaoishi Nyumba za Sebleni, Ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.

Mrajis wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Latifa Salmin Ufuzo akigawa Kanga kwa Wazee wanaoishi Nyumba Sebleni, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.

Baadhi ya Wazee wanaoishi Nyumba za Wazee Sebleni, wakiwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) huko Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.


Mwanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Rajab Hamadi Ali, akitengeneza Taa katika Nyumba za Wazee Sebleni kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Khamiss Maulid Mkuyu (Kulia) na ( Kushoto) ni Juma Masoud Juma, wakipachika feni Jipya katika chumba cha miongoni mwa Wazee wanaoishi Nyumba za Sebleni, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Mfanyakazi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Hapsa Abuubakar Said akifanya Usafi maeneo ya Chooni kwa Wazee wanaoishi Nyumba za Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Mwalimu wa Ufundi Bomba kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Ali Khatib Abdulla, akitoa maelezo ya utengenezaji wa Mfereji huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Mwalimu wa Ufundi Bomba kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Ali Khatib Abdulla, akikaguwa Bomba la maji lililopasuka huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakifanya matengenezo ya Choo, huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.



Baadhi ya Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakitengeneza Swichi za taa za Jikoni huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
PICHA NA MARYAM KIDIKO/ TAASISI YA KARUME SAYANSI NA TEKNOLOJI ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...