Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Profesa Longinus Rutasitara akifungua mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.

Mkurugenzi
 Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA),Hamza S.Johari 
akizungumza pamoja na kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA, Profesa 
Longinus Rutasitara wakati wa mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo
 la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga 
ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi 
wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA),Hamza S.Johari akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa Usafiri wa Anga wakitoa maoni kwenye mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa Usafiri wa Anga wakifuatilia mada kwenye mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.
Mwenyekiti
 wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Profesa Longinus 
Rutasitara (wa pili kulia) akifunga mkutano wa wadau wa TCAA uliokuwa na lengo la 
kujadili kuwepo kwa ushindani kwenye soko la watoa huduma za anga 
ardhini hasa kwenye huduma ya mizigo ya Ndege uliofanyika katika Ukumbi 
wa Mamlaka hiyo yaliyopo Banana-Ukonga Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...